Search

622 results for Tuzo Mapunda :

  1. PRIME Mama asimulia ukuta ulivyodondoka na kuua watoto wake wanne

    “Hali ilikuwa ngumu kwa sababu matofali yalikuwa mazito kwa kuwa yalikuwa yameshiba maji baada ya kuona mzigo mzito tukaitisha majirani kutusaidia, tulitumia muda mrefu nahisi walizidiwa pumzi,”...

  2. Wanne familia moja wafariki dunia, madaraja yakatika

    Tukio hilo lililitokea juzi asubuhi ambapo Lidya Heza (21), Agnes Eliya (20), Stella Rujukundi (20) na Joyce Rujukundi (12), walifariki dunia huku wengine saba wakinusurika katika tukio hilo.

    New Content Item (1)
  3. Malisa, Boniface waendelea kushikiliwa, Polisi wasema dhamana yao ipo wazi

    Hata hivyo, alipopigiwa simu Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro kujua sababu ya kunyimwa dhamana wawili hao amejibu kwa kifupi, “dhamana yao ipo wazi.”

  4. Mafuriko yakatisha safari mabasi yaendayo haraka Dar

    Taarifa ya leo Ijumaa Aprili 26, 2024 iliyotolewa na Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano Dart imeeleza mabasi kwa njia za Kimara hadi Kivukoni, Gerezani na Morocco yanaishia Magomeni Mapipa

  5. Wakili wa Jacob 'Boni Yai', Malisa aeleza kinachoendelea polisi

    Meya wa zamani wa Ubungo, Jacob Boniface maarufu Boni Yai na Mwanaharakati Godlisen Malisa walitiwa mbaroni jana Alhamisi, Aprili 25, 2024 walipokwenda kuripoti Kituo cha Kipolisi Mkoa wa...

  6. Polisi yawashikilia Meya wa zamani Jacob, Malisa, kwenda kupekuliwa Dar, Moshi

    Wakili asema Polisi wamedai hatua hiyo ni kinyume na kifungu 16 cha sheria ya mwenendo wa makosa mtandao.

  7. Meya wa zamani Jacob, Malisa waripoti Polisi Oysterbay, watakiwa kwa Muliro

    Jacob na Malisa jana Aprili 24, 2024 walipokea wito wa kuhitajika Kituo cha Oysterbay ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro

  8. Mbunge wa CCM, wadau washauri tatizo la vivuko Kigamboni

    Wananchi wa Kigamboni wameeleza uchache wa vivuko ni sababu ya kushindwa kuvuka kwa wakati hali inayojitokeza nyakati za usiku na asubuh. Wametoa mapendekezo ya nini cha kufanyika kumaliza tatizo...

    New Content Item (2)
  9. Familia ya aliyefariki kwa utata yatoa neno, yashukuru mitandao

    Familia ya Marehemu Robert Mushi yatoa shukrani kwa umma wa Watanzania, kwa kupaza sauti zao kupitia mitandao yao ya kijamii na kufanikisha kuona mwili wa ndugu yao aliyepotea ghafla.

  10. PRIME Utata kupotea, kukutwa mochwari ya polisi mwili wa Robert

    Hata hivyo, jeshi hilo limesema linawasaka Jacob na Malisa kwa tuhuma za kusambaza taarifa za uongo na uzushi kwenye mitandao ya kijamii, zinazolenga kujenga chuki na taharuki kwa wananchi dhidi...

Page 1 of 63

Next